Orodha ya volkeno nchini Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hii ni orodha ya volkeno nchini Tanzania zilizokuwa hai katika kipindi cha miaka milioni 2.5 iliyopita. Tanzania inapitiwa na Bonde la Ufa ambako bamba la Afrika linaelekea kupasuka. Katika eneo hili ganda la dunia si nene kama kawaida na magma kutoka chini haina njia ndefu ya kufika juu. Hivyo volkeno za Tanzania ziko kwenye bonde la Ufa au kando lake.

Picha Jina Mkoa Aina ya volkeno Tarehe ya mlipuko wa mwisho Kimo [m] Majira jio
Milima ya Igwisi Tabora Pia majivu haijulikani 1145 4°52′S 31°55′E / 4.87°S 31.92°E / -4.87; 31.92
Kieyo Mbeya Volkenostrato mnamo 1800 2175 9°14′S 33°47′E / 9.23°S 33.78°E / -9.23; 33.78
Mt. Kilimanjaro 12.2006.JPG Kilimanjaro Kilimanjaro Volkenostrato haijulikani 5895 3°04′S 37°21′E / 3.07°S 37.35°E / -3.07; 37.35
Meru.jpg Mlima Meru Arusha Volkenostrato 1910 4565 3°15′S 36°45′E / 3.25°S 36.75°E / -3.25; 36.75
Ngozi.jpg Ngozi Mbeya Kasoko mnamo 1450 ± miaka 40 2622 8°58′S 33°34′E / 8.97°S 33.57°E / -8.97; 33.57
Lengai from Natron.jpg Ol Doinyo Lengai Arusha Volkenostrato 2010 2962 2°45′50″S 35°54′50″E / 2.764°S 35.914°E / -2.764; 35.914
Rungwe Mbeya Volkenostrato mnamo 50 KK ± miaka 100 2961 9°08′S 33°40′E / 9.13°S 33.67°E / -9.13; 33.67

Volkeno nyingine ni:

Jina Kimo Mahali Mlipuko wa mwisho
mita futi Majiranukta
Burko[1] - - - -
Embulbul[2] - - - -
Elan Nairobi - - - -
Esimingor [1] - - - -
Gelai [3] - - - -
Izumbwe-Mpoli 1568 5144 8°56′S 33°24′E / 8.93°S 33.40°E / -8.93; 33.40 Holocene
Ketumbaine [3] - - - -
Lemagrut - - - -
Loolmalasin [4] 3682 - - -
Ngorongoro - - 3°09′S 39°18′E / 3.15°S 39.30°E / -3.15; 39.30 -
Oldeani [3] - - - -
Ololmoti - - - -
Olossirwa - - - -
Usio na jina - - 8°38′S 33°34′E / 8.63°S 33.57°E / -8.63; 33.57 Holocene
Bonde la Usangu 2179 7149 8°45′S 33°48′E / 8.75°S 33.80°E / -8.75; 33.80 Holocene

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]