Nenda kwa yaliyomo

Bonde la Usangu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

8°45′S 33°48′E / 8.75°S 33.80°E / -8.75; 33.80

Bonde la Usangu (pia: uwanja wa Usangu, ing. Usangu Flats) ni bonde la mkoa wa Mbeya nchini Tanzania. Ni sehemu ya Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki.

Usangu pia ni jina la mlima wa volkeno ambao urefu wake ni mita 2169.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]