Milima ya Igwisi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

4°53′13.18″S 31°56′4.46″E / 4.8869944°S 31.9345722°E / -4.8869944; 31.9345722 Milima ya Igwisi ni eneo la volkeno karibu na Igwisi, katika mkoa wa Tabora, nchini Tanzania[1].

Urefu wake ni mita 1145.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]