Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya Marais wa Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Rais wa Tanzania)
Tanzania

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
TanzaniaZanzibar

Nchi zingine · Atlasi

Makala hii inaonyesha orodha ya marais wa Tanzania.

Marais wa Tanzania, 1964-hadi sasa[hariri | hariri chanzo]

Jina Amechukua ofisi Ameondoka ofisini Chama
Julius Nyerere Julius Nyerere
(1922–1999)
26 Aprili 1964 5 Februari 1977 TANU
5 Februari 1977 5 Novemba 1985 CCM
Ali Hassan Mwinyi.jpg Ali Hassan Mwinyi
(1925–2024)
5 Novemba 1985 23 Novemba 1995 CCM
Benjamin Mkapa Benjamin Mkapa
(1938–2020)
23 Novemba 1995 21 Desemba 2005 CCM
Jakaya Kikwete Jakaya Kikwete
(1950–)
21 Desemba 2005 5 Novemba 2015 CCM
John Magufuli John Magufuli
(1959–2021)
5 Novemba 2015 17 Machi 2021 CCM
Samia Suluhu Hassani Samia Suluhu Hassan
(1960-)
19 Machi 2021 CCM

Ushirika wa Kisiasa[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]