Orodha ya Makamu wa Rais Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tanzania
Coat of arms of Tanzania.svg

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
TanzaniaZanzibar
Flag of Zanzibar.svg

Nchi zingine Atlasi

Orodha ya Makamu wa Rais wa Tanzania ni cheo cha pili kwa ukubwa kisiasa nchini Tanzania.

Historia ya walioshika ofisi ni hawa wafuatao:

Jina Ameingia Ofisini Ameondoka Ofisini
Abeid Amani Karume 1964 1972
Mwinyi Aboud Jumbe 1972 1984
Ali Hassan Mwinyi 1984 1985
Joseph Sinde Warioba 1985 1990
John Samuel Malecela 1990 1994
Cleopa David Msuya 1994 1995
Omar Ali Juma 1995 2001
Ali Mohamed Shein 2001 2010 Mohamed Ghalib Bilal 2010 hadi sasa