Mohamed Gharib Bilal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mohamedi Gharib Bilal

Mohamed Gharib Bilal (alizaliwa 1945) ni mwanasiasa wa Tanzania aliyewahi kuwa waziri katika serikali ya mapinduzi ya Zanzibar tangu mwaka 1995 hadi mwaka 2005[1]. Tangu mwaka 2010 hadi mwaka 2015 alikuwa makamu wa rais wa Tanzania.

Bilal ni mtaalamu wa masuala ya sayansi ya nyuklia.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]