Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2015
2010 ←
25 Oktoba 2015 (2015-10-25 ) [1]
→ 2020
Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2015 ulifanyika tarehe 25 Oktoba . Wapiga kura walimchagua Rais , wabunge na Madiwani .
Tarehe 29 Oktoba mgombea wa CCM, John Pombe Magufuli alitangazwa na Tume ya Uchaguzi kuwa mshindi wa kura ya rais, akifuatwa na Lowassa wa Chadema.[2] . Kadiri ya tume hiyo, Magufuli alipata kura 8,882,935, sawa na asilimia 58.46 na Lowassa alipata kura 6,072,848, sawa na asilimia 39.97. Hata hivyo wapinzani walikataa kukubali matokeo hayo na wasimamizi wa uchaguzi kutoka nje walilaumu sana baadhi ya taratibu na matukio.
Chama
Kura
%
Wabunge
wa majimbo
wa chama
Jumla
+/–
Chama Cha Mapinduzi
8,021,427
55.04
188
64
252
Chama cha Demokrasia na Maendeleo
4,627,923
31.75
34
36
70
Civic United Front CUF
1,257,765
8.63
32
10
42
Alliance for Change and Transparency
323,112
2.22
1
0
1
NCCR–Mageuzi
218,209
1.50
1
0
1
Chama cha Ukombozi wa Umma
23,058
0.16
0
0
0
0
Democratic Party
14,471
0.10
0
0
0
0
United Democratic Party
13,757
0.09
0
0
0
–1
Tanzania Labour Party
13,098
0.09
0
0
0
–1
ADA–TADEA
12,979
0.09
0
0
0
0
Alliance for Democratic Change
12,420
0.09
0
0
0
0
Chama cha Haki na Ustawi
8,217
0.06
0
0
0
0
Alliance for Tanzania Farmers Party
7,498
0.05
0
0
0
0
United People's Democratic Party
3,772
0.03
0
0
0
0
Jahazi Asilia
3,344
0.02
0
0
0
0
Progressive Party of Tanzania – Maendeleo
3,037
0.02
0
0
0
0
Chama Cha Kijamii
2,310
0.02
0
0
0
0
National League for Democracy
2,082
0.01
0
0
0
0
Union for Multiparty Democracy
1,975
0.01
0
0
0
0
Sauti ya Umma
1,810
0.01
0
0
0
0
National Reconstruction Alliance
1,467
0.01
0
0
0
0
Demokrasia Makini
1,226
0.01
0
0
0
0
Walioteuliwa na rais
–
–
–
–
10
–
Kura zilizoharibika
–
–
–
–
–
Jumla
14,574,957
100
256
110
366
+17
Source: NEC , IPU