Orodha ya Marais wa Zanzibar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tanzania
Coat of arms of Tanzania.svg

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
TanzaniaZanzibar
Flag of Zanzibar.svg

Nchi zingine Atlasi

Ukarasa huu una orodha ya marais wa Zanzibar:

Jina Muda wa Utawala Chama
Sheikh Abeid Amani Karume 12 Januari 1964 7 Aprili 1972 ASP
Skeikh Mwinyi Aboud Jumbe 11 Aprili 1972 30 Januari 1984 ASP, 1977 CCM
Ali Hassan Mwinyi 30 Januari 1984 24 Oktoba 1985 CCM
Idris Abdul Wakil 24 Oktoba 1985 25 Oktoba 1990 CCM
Salmin Amour 25 Oktoba 1990 8 Novemba 2000 CCM
Amani Abeid Karume 8 Novemba 2000 sasa CCM

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]