Ali Mohamed Shein

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ali Mohamed Shein (amezaliwa 13 Machi 1948) alikuwa Makamu wa Rais wa Tanzania tangu tarehe 13 Julai 2001, akawa Rais wa awamu ya saba na Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi tangu mwaka 2010 hadi 2020.

Kwa asili anatokea kisiwani Pemba, Shein ni mwanachama wa chama tawala cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ni daktari kitaaluma.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Alitanguliwa na
Omar Ali Juma
Makama wa Rais wa Tanzania
2001-
Akafuatiwa na
Aliomadarakani
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ali Mohamed Shein kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.