Ali Hassan Mwinyi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Ali Hassan Mwinyi


Muda wa Utawala
5 November 1985 – 23 November 1995
Waziri Mkuu Joseph Sinde Warioba
mtangulizi Julius Nyerere
aliyemfuata Benjamin Mkapa

tarehe ya kuzaliwa 8 Mei 1925 (1925-05-08) (umri 93)
Zanzibar
utaifa Mtanzania
chama CCM
ndoa Siti Mwinyi
dini Uislamu
Historia ya Tanzania
Coat of Arms of Tanzania
This article is part of a series
Uendo
Historia ya Zanzibar
Ukoloni
Mgawanyo wa Afrika
Afrika ya Mashariki ya Kijerumani
Mkataba wa Zanzibar-Helgoland
Mkwawa
Vita vya Maji Maji
Vita vikuu vya kwanza Afrika Mashariki
Tanganyika
Uhuru
Mapinduzi ya Zanzibar
Julius Nyerere
Ujamaa
Tamko la Arusha
Vita vya Kagera
Ali Hassan Mwinyi
Benjamin Mkapa
Jakaya Kikwete
{Kigezo:Data99

Tanzania Portal

Ali Hassan Mwinyi (amezaliwa 8 Mei 1925) alikuwa Rais wa Pili wa Tanzania kuanzia 1985 hadi 1995. Aliyemtangulia ni Mwalimu Julius Nyerere, na aliyemfuata ni Benjamin Mkapa.

Kabla hajachaguliwa kuwa Rais, Mwinyi alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Makamu Rais. Pia alikuwa mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia 1990 hadi 1996.

Mwinyi alizaliwa kwenye kisiwa cha Unguja (Zanzibar).

Wakati wa urais wa Mwinyi, sera za Ujamaa zilianza kugeuzwa. Badala yake sera za soko huru zilianzishwa, masharti ya kuingiza bidhaa kutoka nchi za nje yalipunguzwa na uanzishaji wa biashara ya watu binafsi ulihamasishwa. Mwaka wa 1991, uanzishaji wa vyama vingi uliruhusiwa.

Sera za soko huru za Mwinyi zimeendelezwa chini ya Rais Benjamin Mkapa. Mwinyi mwenyewe, baada ya kustaafu, hakujiingiza katika mambo ya siasa tena. Anaendelea kuishi huko Dar es Salaam.

Heshima na Tuzo[hariri | hariri chanzo]

Nishani[hariri | hariri chanzo]

Nishani Nchi Mwaka Ref
Order of Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (Tanzania) - ribbon bar.png Nishani ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Bendera ya Tanzania Tanzania 2011

Shahada za Heshima[hariri | hariri chanzo]

Chuo Kikuu Nchi Shahada ya Uzamivu Mwaka Ref
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Bendera ya Tanzania Tanzania Daktari wa Barua 2012 [1]
Chuo Kikuu cha Afrika Mashariki Bendera ya Kenya Kenya Daktari wa Usimamizi wa Biashara 2013 [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Why OUT awarded Mzee Ruksa a honorary degree. IPP Media (24 March 2012). Iliwekwa mnamo 7 February 2013.
  2. Former President Mwinyi conferred with PhD. Daily News (Tanzania) (2 June 2013). Iliwekwa mnamo 2 June 2013.
Alitanguliwa na
Mwinyi Aboud Jumbe
Makamu wa Rais wa Tanzania
1984-1985
Akafuatiwa na
Joseph Sinde Warioba
Alitanguliwa na
Julius Nyerere
Rais wa Tanzania
1985-1995
Akafuatiwa na
Benjamin Mkapa