Nenda kwa yaliyomo

Uhuru wa Tanganyika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere anayehesabika baba wa taifa.
Historia ya Tanzania
Coat of Arms of Tanzania
This article is part of a series
Uendo
Historia ya Zanzibar
Afrika Mashariki 1800-1845
Ukoloni
Afrika ya Mashariki ya Kijerumani
Mkataba wa Zanzibar-Helgoland
Mkwawa
Vita vya Maji Maji
Vita vikuu vya kwanza Afrika Mashariki
Tanganyika
Mapambano ya uhuru Tanganyika
Uhuru
Uhuru wa Tanganyika
Mapinduzi ya Zanzibar
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Julius Nyerere
Ujamaa
Tamko la Arusha
Vita vya Kagera
Ali Hassan Mwinyi
Benjamin Mkapa
Jakaya Kikwete
John Magufuli
Samia Suluhu Hassan

Tanzania Portal

Uhuru wa Tanganyika ulipatikana tarehe 9 Desemba 1961.

Eneo la Tanganyika, ambalo awali, pamoja na Rwanda na Burundi, liliunda koloni la Afrika ya Mashariki ya Kijerumani, lilikuwa linasimamiwa na Uingereza kuanzia mwaka 1916 mpaka 1961.

Kwanza lilikuwa linasimamiwa chini ya utawala wa kijeshi.

Kuanzia tarehe 20 Julai 1922, lilirasimishwa kuwa ndani ya mamlaka ya Shirikisho la Mataifa chini ya utawala wa Waingereza.

Kuanzia mwaka 1946, liliongozwa na Uingereza kama eneo la kudhaminiwa chini ya uangalizi wa Umoja wa Mataifa hadi siku ya kupata uhuru.

Mhusika mkuu wa uhuru huo alikuwa Julius K. Nyerere pamoja na chama cha TANU.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uhuru wa Tanganyika kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.