Nenda kwa yaliyomo

20 Julai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jun - Julai - Ago
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 20 Julai ni siku ya 201 ya mwaka (ya 202 katika miaka mirefu). Mpaka mwaka uishe zinabaki siku 164.

Sikukuu[hariri | hariri chanzo]

Matukio[hariri | hariri chanzo]

Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]

Waliofariki[hariri | hariri chanzo]

Sikukuu[hariri | hariri chanzo]

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Apolinari wa Ravenna, Elia, Yosefu Barsaba, Marina wa Antiokia, Frumensi, Aurelius wa Karthago, Vulmari, Paulo wa Cordoba, Magdalena Yi Yong-hui na wenzake, Yosefu Maria Díaz Sanjurjo, Leo Ignas Mangin na wenzake, Petro Zhou Rixin, Maria Fu Guilin, Maria Zhao Guozhi na wanae, Xi Guizi n.k.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 20 Julai kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.