Gerd Binnig

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gerd Binnig (2013)

Gerd Karl Binnig (amezaliwa 20 Julai 1947) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Baadhi ya utafiti mwingine alichunguza na kubuni hasa aina mbalimbali za hadubini. Mwaka wa 1986, pamoja na Ernst Ruska na Heinrich Rohrer alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gerd Binnig kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.