Nenda kwa yaliyomo

Heinrich Rohrer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Heinrich Rohrer

Heinrich Rohrer (amezaliwa 6 Juni 1933) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uswisi. Baadhi ya utafiti mwingine alichunguza na kubuni hasa aina fulani ya hadubini. Mwaka wa 1986, pamoja na Ernst Ruska na Gerd Binnig alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Heinrich Rohrer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.