1933
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1900 |
Miaka ya 1910 |
Miaka ya 1920 |
Miaka ya 1930
| Miaka ya 1940
| Miaka ya 1950
| Miaka ya 1960
| ►
◄◄ |
◄ |
1929 |
1930 |
1931 |
1932 |
1933
| 1934
| 1935
| 1936
| 1937
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1933 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 30 Januari - Adolf Hitler aliteuliwa kuwa Chansella wa Ujerumani.
- 23 Machi - mwisho wa maharamisho ya pombe nchini Marekani (sheria ya kitaifa tangu 1920)
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]Kalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 14 Machi - Quincy Jones, mwanamuziki kutoka Marekani
- 19 Machi - Philip Roth, mwandishi kutoka Marekani
- 27 Machi - Peter Mansfield, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2003
- 1 Aprili - Claude Cohen-Tannoudji, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1997
- 26 Aprili - Arno Penzias, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1978
- 3 Mei - Steven Weinberg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1979
- 25 Mei - Patrick Cullinan, mwandishi wa Afrika Kusini
- 6 Juni - Heinrich Rohrer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1986
- 8 Juni - Joan Rivers, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 15 Juni - Geoffrey William Griffin, mkurugenzi mwanzilishi wa Shule ya Upili ya Wavulana ya Starehe, Kenya
- 20 Julai- Cormac McCarthy, mwandishi kutoka Marekani
- 14 Agosti - Richard Ernst, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1991
- 23 Agosti - Robert Curl, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1996
- 19 Septemba - Ingrid Jonker, mwandishi wa Afrika Kusini
- 2 Oktoba - John Gurdon, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2012
- 3 Novemba - Michael Dukakis, mwanasiasa wa Marekani
- 4 Novemba - Emeka Ojukwu, mwanasiasa Mnigeria
- 15 Novemba - Gloria Foster, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 3 Desemba - Paul Crutzen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1995
- 23 Desemba - Akihito, Mfalme Mkuu wa Japani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 5 Januari - Calvin Coolidge, Rais wa Marekani (1923-1929)
- 29 Januari - Sara Teasdale, mshairi kutoka Marekani
- 31 Januari - John Galsworthy, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1932
- 1 Aprili - Charles Andler, mwanafalsafa wa Ufaransa
Wikimedia Commons ina media kuhusu: