Ernst Ruska

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kibao kilichoanzdikwa na kupachikwa kilichobeba baadhi ya taarifa za Ernst Ruska, ikiwemo tarehe ya kuzaliwa na kufaa kwake, jina na baadhi ya maneno mengine ya kijerumani
Kibao kilichoanzdikwa na kupachikwa kilichobeba baadhi ya taarifa za Ernst Ruska, ikiwemo tarehe ya kuzaliwa na kufaa kwake, jina na baadhi ya maneno mengine ya kijerumani

Ernst August Friedrich Ruska (25 Desemba 190627 Mei 1988) alikuwa fundisanifu wa umeme kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa anajulikana kwa kubuni hadubini ya elektroni. Mwaka wa 1986, pamoja na Gerd Binnig na Heinrich Rohrer alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ernst Ruska kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.