Apolinari wa Ravenna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Nakshi inayomchora Apolinari katika Basilika lake Sant'Apollinare in Classe, Ravenna.

Apolinari wa Ravenna, mzaliwa wa Antiokia, (Syria ya kale, leo Antakya, nchini Uturuki) alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo wa Italia hadi alipouawa huko kwa ajili ya imani yake.) Kwa hiyo anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 20 Julai.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Apolinari wa Ravenna kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.