1897
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 18 |
Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
◄ |
Miaka ya 1860 |
Miaka ya 1870 |
Miaka ya 1880 |
Miaka ya 1890
| Miaka ya 1900
| Miaka ya 1910
| Miaka ya 1920
| ►
◄◄ |
◄ |
1893 |
1894 |
1895 |
1896 |
1897
| 1898
| 1899
| 1900
| 1901
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1897 BK (Baada ya Kristo).
Matukio[hariri | hariri chanzo]
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
Kalenda ya Gregori | 2023 MMXXIII |
Kalenda ya Kiyahudi | 5783 – 5784 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2776 |
Kalenda ya Ethiopia | 2015 – 2016 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1472 ԹՎ ՌՆՀԲ |
Kalenda ya Kiislamu | 1445 – 1446 |
Kalenda ya Kiajemi | 1401 – 1402 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2078 – 2079 |
- Shaka Samvat | 1945 – 1946 |
- Kali Yuga | 5124 – 5125 |
Kalenda ya Kichina | 4719 – 4720 壬寅 – 癸卯 |
- 11 Januari – Bernard DeVoto, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1948
- 4 Februari - Ludwig Erhard, Chansela wa Ujerumani (1963-1966)
- 10 Februari - John Enders (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1954)
- 17 Aprili - Thornton Wilder (mwandishi Mmarekani)
- 23 Aprili - Lester Pearson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1957, na Waziri mkuu wa Kanada (1963-1968)
- 17 Mei - Odd Hassel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1969
- 27 Mei - John Douglas Cockcroft (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1951)
- 16 Juni - Georg Wittig, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1979
- 19 Juni - Cyril Hinshelwood, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1956
- 20 Julai - Tadeus Reichstein (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1950)
- 2 Agosti - Mtakatifu Rikardo Pampuri, O.H., daktari na bradha
- 15 Agosti - Louis-Victor Broglie, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1929
- 25 Septemba - William Faulkner (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1949)
- 26 Septemba - Papa Paulo VI (kwa jina la Giovanni Montini)
- 29 Septemba - Herbert Agar, mwanahistoria kutoka Marekani
- 7 Oktoba - Elijah Muhammad, kiongozi wa Nation of Islam nchini Marekani (1934-1975)
- 9 Novemba - Ronald Norrish, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1967
- 18 Novemba - Patrick Blackett, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1948
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 10 Februari - Sewa Haji, mfanyabishara kutoka Bagamoyo
- 3 Aprili - Johannes Brahms, mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani