Nenda kwa yaliyomo

Thornton Wilder

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Thornton Wilder

Amezaliwa 17 Aprili 1897
Wisconsin, Marekani
Amekufa 7 Disemba 1975
Connecticut, Marekani
Kazi yake Mwandishi


Thornton Niven Wilder (17 Aprili 18977 Desemba 1975) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Aliandika riwaya na tamthiliya. Mwaka wa 1928 alituzwa Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Bridge of San Luis Rey. Tena alituzwa Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya mara mbili, 1938 na 1943. Anajulikana hasa kwa tamthiliya yake iitwayo kwa Kiingereza The Matchmaker. Ilitolewa mwaka wa 1954, na 1964 ilibadilishwa kuwa igizo la muziki chini ya jina Hello, Dolly!.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thornton Wilder kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.