7 Desemba
Mandhari
(Elekezwa kutoka 7 Disemba)
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 7 Desemba ni siku ya 341 ya mwaka (ya 342 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 24.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1941 - Shambulio la Japani dhidi ya manowari za Marekani katika bandari ya Pearl Harbour (Hawaii) linasababisha nchi hiyo kubwa kuingia vita vikuu vya pili
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 521 - Mtakatifu Kolumba, mmonaki mmisionari nchini Uskoti
- 1873 - Willa Cather, mwandishi kutoka Marekani
- 1915 - Eli Wallach, mwigizaji kutoka Marekani
- 1966 - Lucía Etxebarria, mwandishi na mshairi kutoka Hispania
- 1980 - John Terry, mchezaji wa mpira kutoka Uingereza
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 283 - Mtakatifu Papa Eutychian
- 1254 - Papa Innocent IV
- 1880 - Mtakatifu Maria Yosefa Rossello, bikira wa Italia
- 1906 - Elie Ducommun, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1902
- 1947 - Nicholas Butler, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1931
- 1975 - Thornton Wilder, mwandishi Mmarekani
- 1982 - Will Lee, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1993 - Wolfgang Paul, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1989
- 1998 - Martin Rodbell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1994
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Ambrosi, Sabino wa Spoleto, Atenodoro, Urbano wa Teano, Yohane Mnyamavu, Fara, Charles Garnier, Maria Yosefa Rossello n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 7 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |