Élie Ducommun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Elie Ducommun)
Elie Ducommun
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons


Élie Ducommun (19 Februari, 18337 Desemba, 1906) alikuwa mwandishi na mhariri kutoka nchi ya Uswisi. Nje ya kazi yake katika kampuni ya treni, alijitahidi kwa ajili ya amani. Mwaka wa 1902, pamoja na Charles-Albert Gobat alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani.


Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Élie Ducommun kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.