Nicholas Butler

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tuzo Nobel.png

Nicholas Murray Butler (2 Aprili 18627 Desemba 1947) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Marekani. Alikuwa mwenyekiti wa Chuo Kikuu cha Columbia, na alijitahidi hasa upande wa elimu ya kimataifa. Mwaka wa 1931, pamoja na Jane Addams alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.


Administradors.png Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nicholas Butler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.