Nenda kwa yaliyomo

Jane Addams

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jane Addams (1914)

Laura Jane Addams (6 Septemba 186021 Mei 1935) alikuwa mwanasiasa na mwanaharakati wa amani kutoka nchi ya Marekani.

Mwaka wa 1931, pamoja na Nicholas Butler, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jane Addams kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.