Woodrow Wilson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Woodrow Wilson, 1912

Thomas Woodrow Wilson (28 Desemba 18563 Februari 1924) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Marekani. Miaka ya 1913 hadi 1921 alikuwa Rais wa Marekani. Mwaka wa 1919 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.

Administradors.png Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Woodrow Wilson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.