Chuo Kikuu cha Columbia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chuo Kikuu cha Columbia

Chuo Kikuu Cha Columbia ni chuo chenye masomo ya shahada katika mji wa New York. Kilibuniwa mwaka 1754 na Kanisa la Uingereza kikiitwa King's College (Chuo Cha Mfalme), baada ya kupata idhini ya kutoa mafunzo kutoka kwake mfalme George II wa Uingereza. Miongoni mwa waliofuzu kutoka katika chuo hiki ni rais wa Marekani, Barack Obama, rais wa Estonia Toomas Hendrik Ilves, na wasanii waimbaji Alicia Keys na Lauryn Hill.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Columbia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.