Estonia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Eesti Vabariik
Jamhuri ya Estonia
Bendera ya Estonia Nembo ya Estonia
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: --
Wimbo wa taifa: Mu isamaa, mu õnn ja rõõm
Lokeshen ya Estonia
Mji mkuu Tallinn
59°26′ N 24°45′ E
Mji mkubwa nchini Tallinn
Lugha rasmi Kiestonia
Serikali demokrasia
Toomas Hendrik Ilves
Taavi Rõivas
Uhuru
Ilitangazwa
ilikubaliwa
Ilitwaliwa na Urusi
Ilitangazwa tena
ilikamilika

24 Februari 1918
2 Februari 1920
16 Juni 1940
20 Agosti 1991
6 Septemba 1991
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
45,100 km² (ya 13)
4.56%
Idadi ya watu
 - 2014 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
1,315,819 (ya 154)
29/km² (ya 173)
Fedha Euro (EUR)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
EET (UTC+2)
EEST (UTC+3)
Intaneti TLD .ee1
Kodi ya simu +372

-Ramani ya Estonia

Estonia (kwa Kiestonia: Eesti au Eesti Vabariik) ni nchi ya Kibalti katika Ulaya ya Kaskazini. Imepakana na Latvia na Urusi.

Finland iko ng'ambo ya Kidaka cha Ufini cha Bahari ya Baltiki na watu wake wana asili moja na Waestonia.

Estonia imekuwa nchi mwanachama ya Umoja wa Ulaya tangu tarehe 1 Mei 2004.

Katika miaka 1922 - 1991 ilikuwa jamhuri mwanachama wa Umoja wa Kisovyeti na kabla yake tena sehemu ya Dola la Urusi.

Mji mkuu ni Tallinn unaojulikana pia kwa jina la Reval.

Lugha rasmi ni Kiestonia ambacho ni lugha mama ya 69.1% ya wakazi na karibu sana na Kifini. Karibu robo husema Kirusi.

Upande wa dini, kadiri ya sensa ya mwaka 2011, 54.14 % hawana yoyote. Wakristo Waorthodoksi ni 16.5%, Walutheri ni 9.91%, mbali ya madhehebu mengine yasiyofikia pekepeke 1%.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]


Nchi za Umoja wa Ulaya Bendera ya Umoja wa Ulaya
Austria | Bulgaria | Denmark | Estonia | Hispania | Hungaria | Ireland | Italia | Kroatia | Kupro | Latvia | Lituania | Luxemburg | Malta | Poland | Slovakia | Slovenia | Romania | Ubelgiji | Ucheki | Ufalme wa Muungano | Ufaransa | Ufini | Ugiriki | Uholanzi | Ujerumani | Ureno | Uswidi
Europa Mapa.png Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Estonia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.