Albania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Republika e Shqipërisë
Jamhuri ya Albania
Bendera ya Albania Nembo ya Albania
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: Feja e Shqiptarit eshte Shqiptaria (Kialbania: "Imani wa Walbania ni Ualbania")
Wimbo wa taifa: Hymni i Flamurit
("Wimbo kwa bendera")
Lokeshen ya Albania
Mji mkuu Tirana
41°20′ N 19°48′ E
Mji mkubwa nchini Tirana
Lugha rasmi Kialbania
Serikali demokrasia
Ilir Meta
Edi Rama
Uhuru
Tarehe

28 Novemba 1912
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
28 748 km² (ya 139)
4.7%
Idadi ya watu
 - 2014 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
3,020,209[ (ya 134)
98/km²/km² (63)
Fedha Lek (ALL)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
CET (UTC+1)
CEST (UTC+2)
Intaneti TLD .al
Kodi ya simu +355

-Jamhuri ya Albania ni nchi ya Ulaya Kusini Mashariki. Imepakana na Montenegro, Kosovo, Jamhuri ya Masedonia na Ugiriki. Upande wa magharibi kuna pwani ya ghuba ya Adria ya bahari ya Mediteranea.

Albania ni kati ya nchi maskini zaidi za Ulaya na wananchi wengi wamehama.

Mji mkuu ni Tirana.

Watu[hariri | hariri chanzo]

Kuna wakazi 3,020,209 (2014). Zaidi ya 90% za wakazi hutumia lahaja za Kialbania ambacho ni lugha ya pekee kati ya lugha za Kihindi-Kiulaya.

Kati ya miaka 1945 na 1990 ilitawaliwa na chama cha Kikomunisti iliyotangaza Albania kuwa nchi ya kwanza ya kiatheisti iliyopiga marufuku kila aina ya dini. Hata hivyo, baada ya uhuru kupatikana tena, 39% za wakazi anajali sana imani fulani. Katika sensa ya mwaka 2011, 58.79% walijitambulisha kama Waislamu na 17.06% Wakristo (hasa Wakatoliki na Waorthodoksi).

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Europa Mapa.png Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Albania kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.