Akrotiri na Dhekelia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Akrotiri, Western Sovereign Base Area, BFPO 57.
Ramani ya Dhekelia, Eastern Sovereign Base Area, BFPOs 58 & 59.

Akrotiri na Dhekelia ni eneo la ng'ambo la Uingereza ambalo linaundwa na makambi mawili ya kijeshi katika kisiwa cha Kupro (3% ya eneo lote la kisiwa hicho).

Wakazi ni 15,700 hivi, wakiwemo Wakupro na Waingereza.

Europa Mapa.png Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Akrotiri na Dhekelia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.