Transnistria
Transnistria ni jamhuri katika Moldova ya Mashariki. Inataka kuwa huru, lakini haiungwi mkono na mataifa mengine, isipokuwa Urusi ambao unaisaidia bila kuitambua rasmi.
Eneo lote ni la km² 4,163 (maji 2.35%).
Wakazi ni 475,665 (2015).
![]() |
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|