Moldova

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Republica Moldova
Jamhuri ya Moldova
Bendera ya Moldova Nembo ya Moldova
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa:
Wimbo wa taifa: Limba noastră  (Kiromania)
"Lugha yetu")
Lokeshen ya Moldova
Mji mkuu Kishineu
47°0′ N 28°55′ E
Mji mkubwa nchini Kishineu
Lugha rasmi Kiromania-->
Serikali Jamhuri, Serikali ya Kibunge
Nicolae Timofti
Iurie Leancă
Uhuru
Tarehe
Imekamilika

27 Agosti 1991
25 Desemba 1991
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
33,843 km² (ya 139)
1.4
Idadi ya watu
 - Jan 2014 kadirio
 - 2004 sensa
 - Msongamano wa watu
 
3,557,6002 (ya 1333)
3,383,3322
105/km² (ya 81)
Fedha Moldovan leu (MDL)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
EET (UTC+2)
EEST (UTC+3)
Intaneti TLD .md
Kodi ya simu +373

-

1 Lugha ya "Kimoldova" ni lugha ileile ya Kiromania.
2Transnistria na Tighina hazimo.
3Moldova ni nchi ya Ulaya ya Mashariki. Inapakana na Ukraina na Romania.

Lugha rasmi ni Kiromania, ambacho kimetokana hasa na Kilatini. Ni lugha ya kwanza ya 76% ya wakazi wote, ikifuatwa na Kirusi (16%).

Upande wa dini, 93.34% ni Waorthodoksi.

Mji mkuu ni Chișinău.

Moldova ilikuwa sehemu ya Umoja wa Kisovyeti kwa jina la Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kimoldova ikapata uhuru wake tarehe 27 Agosti 1991.

Europa Mapa.png Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Moldova kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.