Ossetia ya Kusini
Ossetia ya Kusini ni eneo la Kaukazi Kusini linalotaka kutambulika tangu mwaka 1991 kama nchi huru, lakini bado, kwa kuwa mataifa mengi (isipokuwa matano) yanalitambua kama sehemu ya Georgia.
Eneo lote ni la km2 3,900 na wakazi ni 50,000 hivi.
Wengi wao ni Wakristo na wanaishi katika mji mkuu, Tshkinvali.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ossetia ya Kusini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |