Abkhazia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Abkhazia
Ramani ya Abkhazia.
Bendera ya Abkhazia.

Abkhazia ni nchi ya Ulaya kusini mashariki kwenye rasi ya Kaukazi, lakini haijatambulika kimataifa kama nchi huru.

Ilikuwa sehemu ya Georgia hadi mwaka 2006, na ndivyo inavyokubalika bado na mataifa yote isipokuwa matano, hasa Urusi.

Eneo lake ni la km² 8,432 linalokaliwa na wakazi 245,000 hivi.

Mji mkuu ni Sukhumi.

Europa Mapa.png Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Abkhazia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.