Kaukazi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Milima ya Kaukazi inavyoonekana kutoka angani

Kaukazi (Kirusi Кавказ Kawkas; Kigeorgia კავკასიონი Kawkasioni) ni eneo la milima kunjamano ambayo ipo baina ya Bahari Nyeusi na Bahari ya Kaspi linalohesabiwa kuwa mpaka kati ya Asia na Ulaya almaarufu Ulasia.

Kaukazi iko katika eneo la nchi Armenia, Azerbaijan, Georgia na Urusi. Mlima unaojulikana hasa ni mlima Ararat unaosemekana ni mahali pa safina ya Nuhu. Kelele yenye kimo kikubwa ni mlima Elbrus upande wa Urusi mwenye mita 5,642 juu ya UB.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kaukazi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.