Montenegro
|
|||||
| Kaulimbiu ya taifa: | |||||
| Wimbo wa taifa: Oj, svijetla majska zoro "Ewe pambazuko la Mei" |
|||||
| Mji mkuu | Podgorica |
||||
| Mji mkubwa nchini | Podgorica | ||||
| Lugha rasmi | Kimontenegro; lugha nyingine 4 ni rasmi kieneo | ||||
| Serikali | Jamhuri Filip Vujanović Milo Đukanović |
||||
| Uhuru Ilitangazwa Ilitambuliwa |
3 Juni 2006 8 Juni 2006 |
||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
13,812 km² (ya 159) 1.5 |
||||
| Idadi ya watu - 2004 kadirio - 2011 sensa - Msongamano wa watu |
630,548 (ya 164) 778,987 45/km² (ya 121) |
||||
| Fedha | Euro2 (EUR) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
CET (UTC+1) CEST (UTC+2) |
||||
| Intaneti TLD | .me | ||||
| Kodi ya simu | ++382 |
||||
| 1 kikatiba. 2 Montenegro si nchi mwanachama wa mkataba wa Euro. |
|||||
Montenegro (kwa Kimontenegro: Црна Гора au Crna Gora = mlima mweusi) ni nchi ndogo ya Ulaya kwenye rasi ya Balkani.
Ina pwani ya Mediteranea ikipakana na Albania, Kosovo, Kroatia, Serbia, Bosnia na Herzegovina na Masedonia.
Nchi ni mwanachama wa Umoja wa Mataifa na inatarajia kujiunga na Umoja wa Ulaya.
Historia[hariri | hariri chanzo]
Montenegro iliwahi kuwa nchi ya kujitegemea kabla ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia.
Katika miaka 1918 hadi 1992 ilikuwa sehemu ya Yugoslavia, kwanza kama eneo tu ndani ya ufalme wa Yugoslavia halafu kama jamhuri ndani ya shirikisho la Yugoslavia.
Nchi ilipata uhuru wake baada ya kuachana na shirikisho la Serbia na Montenegro tarehe 22 Mei 2006.
Wakazi[hariri | hariri chanzo]
Wananchi ni mchanganyiko mkubwa upande wa kabila na lugha, ingawa wengi wana asili ya Kislavoni.
Upande wa dini wengi ni Waorthodoksi (72.07%), wakifuatwa na Waislamu (19.11%) na Wakatoliki (3.44%).
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Montenegro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
|
||||||||||||||