Nenda kwa yaliyomo

Kishineu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Chișinău)
Kishineu mjini: tao na kanisa.

Kishineu (kwa Kiromania Chişinău (matamshi kama mbele); kwa mwandiko wa kikirili Кишинэу, kwa Kirusi Кишинёв "Kishinyev") ni mji mkuu, pia mji mkubwa wa Moldova wenye wakazi 600,000.

Jiografia

[hariri | hariri chanzo]

Mji uko kwa 47°0′N 28°55′E kando ya mto Bich (Bîc) ambao ni tawimto la Dnestr. Eneo la mji ni km² 120. Kishineu iko katikati ya nchi ya Moldova.

Kuna vyuo vingi pamoja na shule, makumbusho na nyumba za maigizo. Mji una viwanda vingi.

Kati ya wakazi kuna vikundi vikubwa vifuatayo kufuatana na lugha:

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kishineu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.