Kishineu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Kishineu mjini: geti na kanisa

Kishineu (tamka: ki-shi-ne-u; Kiromania Chişinău (matamshi kama mbele); kwa mwandiko wa kikirili Кишинэу, Kirusi Кишинёв "kishinyev") ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Moldova mwenye wakazi 600,000.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Mji uko kwa 47°0′N 28°55′E kando la mto Bich (Bîc) amabo ni tawimto wa Dnestr . Eneo la mji ni 120 km². Kishineu iko katikati ya nchi ya Moldova.

Kuna vyuo vingi pamoja na shule, makumbusho na nyumba za igizo. Mji una viwanda vingi.

Wakazi[hariri | hariri chanzo]

Kati ya wakazi kuna vikundi vifuatayo kufuatana na lugha:

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Picha za Kishineu[hariri | hariri chanzo]

Ramani[hariri | hariri chanzo]

Europa Mapa.png Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kishineu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.