Treni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Treni.
Treni za TRC kituoni huko Dar es Salaam

Treni (kutoka Kiing. train) ni chombo cha usafiri kwenye reli za garimoshi. Treni inamaanisha jumla ya mabehewa inayovutwa au kusukumwa na injinitreni kwenye njia ya reli. Kwa lugha nyingine treni huitwa pia gari la moshi. Mfumo wa usafiri kwa reni huitwa kwa kifupi reli.

Mabehewa haya yanaweza kubeba watu au mizigo hivyo kuna tofauti kati ya treni ya abiria na treni ya mizigo.

Mahali ambako treni inasimama na kupokea abiria au mizigo huitwa kituo cha reli.

Album[hariri | hariri chanzo]

ThreeCoins.svg Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Treni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.