Kifini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kifini (kwa Kifini: suomi) ni lugha ya Kifini-Kiugori nchini Ufini, Urusi na Uswidi inayozungumzwa na Wafini. Ni lugha rasmi nchini Ufini.

Mwaka wa 2012 idadi ya wasemaji wa Kifini nchini Ufini imehesabiwa kuwa watu milioni 5.1. Pia kuna wasemaji 201,000 nchini Uswidi (2009) na 38,900 nchini Urusi (2010).

Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifini iko katika kundi la Kifini.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kifini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]