Uainishaji wa lugha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uainishaji wa lugha (kwa Kiingereza: Language classification) ni juhudi za wataalamu wa lugha za kupanga lugha katika makundi kulingana na asili yake na jinsi zinavyofanana[1][2].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Linguistics - Language classification (en). Iliwekwa mnamo 19 September 2020.
  2. Language Typology: Analytic versus Synthetic Languages. Iliwekwa mnamo 19 September 2020.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uainishaji wa lugha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.