Nenda kwa yaliyomo

Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1912

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1912 ulikuwa wa 32 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 5 Novemba. Upande wa "Democratic Party", Woodrow Wilson (pamoja na kaimu wake Thomas Marshall) aliwashinda mgombea wa "Republican Party" Rais William Howard Taft (pamoja na kaimu wake Nicholas Butler) na mgombea wa "Progressive Party", Rais wa zamani Theodore Roosevelt (pamoja na kaimu wake Hiram Johnson).

Wilson akapata kura 435, Roosevelt 88 na Taft nane tu. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.

Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1912 Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.