Desemba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Nov - Desemba - Jan
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Desemba ni mwezi wa kumi na mbili katika kalenda ya Gregori na ni kati ya miezi saba katika kalenda hiyo yenye siku 31. Neno Desemba limetokana na neno la Kilatini "decem" linalomaanisha "kumi." Desemba ulikuwa ni mwezi wa kumi katika kalenda ya Kirumi.

Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno: