5 Desemba
Mandhari
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 5 Desemba ni siku ya 339 ya mwaka (ya 340 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 26.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1590 - Uchaguzi wa Papa Gregori XIV
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1443 - Papa Julius II
- 1782 - Martin Van Buren, Rais wa Marekani (1837-1841)
- 1901 - Werner Heisenberg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1932
- 1901 - Walt Disney, mwongozaji wa filamu na mwanakatuni kutoka Marekani
- 1903 - Cecil Frank Powell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1950
- 1932 - Sheldon Glashow, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1979
- 1936 - Lewis Nkosi, mwandishi wa habari kutoka Afrika Kusini
- 1982 - Keri Hilson, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1984 - Lauren London, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1995 - Anthony Martial, mchezaji wa mpira kutoka Ufaransa
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1791 - Wolfgang Amadeus Mozart, mtunzi wa muziki kutoka Austria
- 1925 - Wladyslaw Reymont, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1924
- 1965 - Joseph Erlanger, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1944
- 2012 - Dave Brubeck, mwanamuziki kutoka Marekani
- 2013 - Nelson Mandela, rais wa Afrika Kusini, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1993
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Krispina wa Tagora, Saba, Lusido, Jeradi wa Braga, Yohane Almond n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 5 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |