Nenda kwa yaliyomo

Keri Hilson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Keri Hilson
Keri Hilson at the Radio Coca Cola Lounge 2009
Keri Hilson at the Radio Coca Cola Lounge 2009
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Keri Lynn Hilson
Amezaliwa 5 Desemba 1982 (1982-12-05) (umri 41)
Decatur, Georgia,
Marekani
Aina ya muziki R&B, pop
Kazi yake Mtunzi wa nyimbo
Ala Sauti
Miaka ya kazi 2001–mpaka sasa
Studio Zone 4, Mosley Music, Interscope
Tovuti www.kerihilson.com


Keri Lynn Hilson (amezaliwa tar. 5 Desemba,[1] 1982) ni msanii wa rekodi wa Kimarekani ambaye amesaini mkataba na studio ya Zone 4, Mosley Music Group na Interscope Records.

Huyu ni mmoja kati ya mkusanyiko wa watunzi na watayarishaji wa muziki wajulikano kwa jina la The Clutch. Mwanzoni mwa miaka ya 2000, Hilson ametunga nyimbo kede-kede kwa ajili ya marapa na waimbaji kama vile Britney Spears na Ludacris. Mnamo mwaka wa 2007, amepata kushirikishwa kwenye wimbo wa Timbaland wa "The Way I Are" na "Scream" na kuanza kazi za kuimba tangu hapo. Hilson amepata kuuza sura kwenye miziki ya video ya msanii kama vile Usher, Ne-Yo na Nelly, na wengine wengi. Albamu yake ya kwanza inaitwa In a Perfect World…, ilitolewa mwanzoni mwa mwaka wa 2009, vibao kikali kutoka kwenye albamu hiyo ni "Energy", "Turnin' Me On" na "Knock You Down".

Muziki na maisha[hariri | hariri chanzo]

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Twitter / KERI HILSON...: twam, u have to know the t". Twitter.com. Iliwekwa mnamo 2009-10-24.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Keri Hilson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.