Lewis Nkosi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lewis Nkosi (5 Desemba 1936 - 5 Septemba 2010) alikuwa mwandishi wa habari wa Afrika Kusini. Aliandika kwa magazeti ya Ilange laseNatali na Drum. Akaenda Marekani kusoma. Mwaka wa 1966 hakuruhusiwa kurudi nchini mwake. Akafundisha katika vyuo vikuu vya nchi mbalimbali kama Poland, Zambia na Marekani. Hasa aliandika makala za kiuhakiki.

Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]

  • The Rhythm of Violence (tamthiliya, 1964)
  • Home and Exile (1965)
  • The Transplanted Heart (1975)
  • Masks and Tasks (1981)
  • Mating Birds (riwaya, 1986)

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN: 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lewis Nkosi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.