Lauren London
Mandhari
Lauren London | |
---|---|
London at the BET Hip Hop Awards in Atlanta, Georgia, 14 Oktoba 2007 | |
Amezaliwa | Lauren Nicole London 5 Desemba 1984 Los Angeles, California Marekani |
Kazi yake | Mwigizaji, mwanamitindo |
Miaka ya kazi | 2002-mpaka sasa |
Lauren Nicole London (amezaliwa tar. 5 Desemba 1984) ni mwigizaji wa filamu na televisheni, mwanamitindo, na mwonekanaji wa miziki ya video. Alianza shughuli zake akiwa kama mwigizaji wa miziki ya video na baadaye kujiingiza kwenye filamu na televisheni. London alianza kupata kutambulika zaidi kwa uchezaji wake wa kwenye filamu ya ATL na vilevile kwenye kipindi cha mfululizo wa TV cha 90210 na Entourage. Mbali na shughuli zake za uigizaji, London pia ni mwongeaji wa wanamitindo wa kike wa mavazi ya Sean John.
Kazi na maisha
[hariri | hariri chanzo]Filmografia
[hariri | hariri chanzo]Mwaka | Filamu | Uhusika |
---|---|---|
2006 | ATL | New New |
2007 | This Christmas | Melanie 'Mel' Whitfield |
2009 | I Love You, Beth Cooper | Cammy Kotts |
2009 | Next Day Air | Ivy |
Miziki ya video
[hariri | hariri chanzo]Mwaka | Wimbo | Wasanii |
---|---|---|
2002 | "From tha Chuuuch to da Palace" | Snoop Dogg akim. Pharrell |
"Grinding" | Pharrell | |
"Signs of Love Makin'" | Tyrese | |
2003 | "Stand Up" | Ludacris akim. Shawnna |
"Frontin'" | Pharrell akim.. Jay-Z | |
2004 | "Drop It Like It's Hot" | Snoop Dogg akim.. Pharrell |
2006 | "That Girl" | Pharrell akim.. Charlie Wilson na Snoop Dogg |
"What You Know" | T.I. | |
2007 | "Drivin' Me Wild" | Common akim.. Lily Allen |
2008 | "Miss Independent" | Ne-Yo |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Lauren London katika All Movie Guide
- Lauren London kwenye Internet Movie Database
- Lauren London katika TV.com
- Lauren London katika Yahoo! Movies
[[Jamii:{{ #if:1984|Waliozaliwa 1984|Tarehe ya kuzaliwa
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lauren London kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |