Muziki wa video
Mandhari
Muziki wa video (pia: muziki wa kuona au video ya muziki) ni aina ya maudhui ya muziki katika taswira mjongeo. Video nyingi za muziki huonyesha msanii akiwa anaimba wimbo aliorekodi au akionekana akiinuainua mdomo kupitia kwenye skrini ya runinga.
Mitandao ya TV na izaya maarufu zinazopiga sana muziki wa video ni pamoja na MTV, VH1, BET, na CMT.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Music Video Bum Archived 18 Desemba 2014 at the Wayback Machine. An open user managed music video collection
- Music on Television Archived 25 Februari 2009 at the Wayback Machine. A brief history of Music Videos
- Diggievision Video artists & directors
- [1] Archived 2012-12-05 at Archive.today Famous Music Videos
- [2] Archived 23 Februari 2021 at the Wayback Machine. Discover New Music
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Muziki wa video kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |