California
California | |||
Mahali pa California katika Marekani | |||
|
|||
Nchi | ![]() | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Sacramento | ||
Eneo | |||
- Jimbo | 423,970 km² | ||
- Bara | 403,933 km² | ||
- Maji | 20,037 km² | ||
Tovuti: http://www.ca.gov/ |
California (pia: Kalifornia) ni jimbo la Marekani upande wa magharibi-kusini ya nchi. Iko kwenye pwani la Pasifiki ikipakana na Meksiko (Baja California). Mji mkuu ni Sacramento.
Gavana amekuwa tangu 2011 mwigizaji Jerry Brown.
California ni kati ya majimbo ya Marekani yenye uwezo mkubwa wa kiuchumi. Kama California ingekuwa nchi huru ya kujitegemea uchumi wake ungekuwa na nafasi ya 8 duniani.
Los Angeles hasa eneo la Hollywood ni kitovu cha kupiga picha za filamu. Utalii, kilimo na viwanda vya ndege huajiri watu wengi. Makampuni ya kompyuta yamestawi vizuri sana California kwa mfano Microsoft.
Kuna miji 59 yenye wakazi zaidi ya lakhi moja:
Mji | Wakazi | |
1 | Los Angeles | 3.957.875 |
2 | San Diego | 1.305.736 |
3 | San Jose | 944.857 |
4 | San Francisco | 799.263 |
5 | Fresno | 500,017 |
6 | Long Beach | 491.564 |
7 | Sacramento | 452.959 |
8 | Oakland | 412.318 |
9 | Santa Ana | 351.697 |
10 | Anaheim | 345.317 |
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- (Kiingereza) (Kihispania) Tovuti rasmi
Majimbo ya Marekani |
---|
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • Delaware • Florida • Georgia • Hawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • Montana • Nebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New Mexico • New York • North Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • Virginia • Washington • West Virginia • Wisconsin • Wyoming |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu California kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |