Krispina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Krispina wa Tagora)

Krispina (alifia dini Theveste, Numidia, 5 Desemba 304) alikuwa mwanamke Mkristo kutoka Thagara (leo nchini Algeria) aliyeuawa kwa kukatwa kichwa wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano na Maximian.

Habari za huyo mama wa familia tajiri zinasimuliwa katika hati za mateso yake zilizoandikwa muda si mrefu baada ya tukio na katika hotuba za Augustino wa Hippo[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Desemba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. In his Sermon on Psalm 120, Augustine says: "The persecutors turned their rage against Crispina, whose birthday we celebrate today. They unleashed their savagery against a rich woman delicately nurtured; but she was strong, because the Lord was for her a better defense than the hand of her right hand, and He was guarding her. Is there anyone in Africa who does not know about these events, brothers and sisters? Scarcely, for she was extremely famous, of noble stock and very wealthy."
  2. Martyrologium Romanum

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

Filamu[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.