Walt Disney

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Walt Disney.
Walt Disney katika stempu.
Walt Disney katika stempu.
Newman Laugh-O-Gram (1921).

Walter Elias Disney (5 Desemba 1901 - 15 Desemba 1966) alikuwa mtayarishaji, mwongozaji na mwanakatuni maarufu wa Marekani. Akiwa pamoja na ndugu yake aitwaye Roy Disney, walifanikiwa kuanzisha kampuni ya Walt Disney Productions (sasa hivi inaitwa The Walt Disney Company).

Disney anafahamika zaidi kwa kubuni katuni zake zilizo maarufu, Mickey Mouse. Minnie Mouse na Pluto vilevile ni ubunifu wake kwa jumla na ujinga ujinga mwingine.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Walt Disney kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.