Anthony Martial

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Martial akiichezea United mwaka 2017

Anthony Martial (amezaliwa 5 Desemba 1995 nchini Ufaransa) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa timu ya taifa ya Ufaransa.

Alianza kuchezea klabu ya Monaco; kuanzia mwaka 2015 anachezea klabu ya Manchester United.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anthony Martial kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.